Tamthilia ya Game of Thrones imenifanya niitilie shaka Biblia

Mkuu NiPM ivo vitabu Kaka.
 
Sababu najua hivi ndiyo vitu vyako pendwa..!
Mkuu!
Ni watu wanatabia wakisoma vitu huko basi moja kwa moja wanahusianisha na Bible. Mimi ni mpenzi wa Game of Thrones series na Vitabu na ninakubali akili ilitumika hasa kuandaa hivyo vitu ila sijawahi kuhusianisha na Biblia. Eti kwakua walitumia akili nyingi basi biblia pia iliundwa hivyo. Such a Dumbdumy pitch.

Kama ni msomaji wa High Fantasy Novel lazima ukubali RR Tolkien alikua very smart katika kutunga na kutengeneza vitu vya kufikirika. Lakini sijawahi kuona wakimuhusisha kama mtoa mada alivyofanya.
Tolkien was smart enough hadi akatengeneza lugha zake mwenyewe nyingi tu hata ukitaka kujifunza unaweza jifunza.

Hii inaitwa Tengwar language katengeneza Tolkien
 
Kuna kuaminishwa na kuamini ,Mimi naamini sio nimeaminishwa. I'm a living testimony.

Sema kama MTU anatabia za mwili hawezi kuyaelewa mambo ya kiroho 1 korinth 2:10-15
Hapo ndipo watu wa Imani zenu mnapokosea kudhani / kuona kwamba wengine wamepotea na nyie ndio mmeona mwanga Ingawa to each his/her own ila kuishi katika dunia yenye fikra na imani tofauti watu kama nyie hamleti harmony bali chaos....

Kitu pekee kinachowafanya watu wanafuata logic rahisi kuishi nao ni kwamba pale ikitokea walichodhani / fikiri kikiwa proven otherwise wanakubali kwamba walikosea na kufuata proven alternative..., Watu wa imani watapindisha kilichopo kiendani within wanachoamini No room for learning / uchunguzi ni always being indoctrinated
 
Sishangai na wasi wasi kuhusu UKWELI wa Bibilia
Nashangaa tu kwamba eti utunzi wa GOT ndio umekufanya uhoji uhalali wa BIBILIA

Mkuu kwa muktadha wako huu we bado ni DHAIFU sana kwenye IMANI
Kuna vitabu ukisoma wewe na hakika utamkana hata Mama yako achilia mbali kutotambua uwepo wa MUNGU

GOT ni hadithi tu kuna wamba manguli wa ideology wanakujengea hoja unamkana Mungu mazima achalia mbali kutilia mashaka....... yaani una conclude mazima HAKUNA MUNGU na Bibilia ni hadithi za elfu ulela wa ulela
 
inaponishangaza biblia n nguvu yake ya kuwabadilosha watu waovu kuwa wema na nguvu yake ya kuishtaki dhamiri "consience" hapo tuu ndo inatofautiana na vitabu vingne vyote
Vitabu vya DINI ZOTE vinafanya haya unayodai BIBILIA inayafanya
 
na katiba ya tanzania inamahusiano na hii series maana si kwa yale yaliyo sukwa.
 
Kuna kuaminishwa na kuamini ,Mimi naamini sio nimeaminishwa. I'm a living testimony.

Sema kama MTU anatabia za mwili hawezi kuyaelewa mambo ya kiroho 1 korinth 2:10-15
Wakristo walioshiba imani yao wakikosa HOJA kutetea imani yao basi hukimbilia kusema haya mambo ni “ya kiroho”

Yaani hata 2+2 mkristo akiaminishwa jibu ni 10 basi ulimbana kimantiki inakuajr 2+2 ni 10 atakwambia haya ni mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa ukiwa kimwili 😂😂😂😂

Yaani kiroho ni hakunaga kutumia akili ni kuamini tu PERIOD
Ndio maana Kibwetere aliwatia kibiri waumini wake kwa gia hii hii ya KIROHO
 

na wanao jitoa muhanga waislamu wakizani mbinguni kuna viwanja na wanawake bikra 100.sio mambo ya kiroho
 
Mtoa mada unatakiwa usome kitabu kimoja hivi ambacho nadhani hujawahi kukisoma.

Hicho kitabu chenyewe kinajisifia kwamba hakina shaka ndani yake na ni mwongozo kwa waongofu.

Na ndio kitabu pekee hapa duniani kilicho jihakikishia chenyewe kuwa ndio cha ukweli.

Kukipata we nenda duka lolote la vitabu, uliza kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake utauziwa.

Ukimaliza kukisoma tuletee mrejesho hapa.
Achana na hizo hadithi za kutunga za siku elfu moja na moja.
 
Ngano
 
Ni miaka miwili imepita sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…