Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Hakika Producer na Director wa Tamthilia ya HUBA asione AIBU kukatisha Matangazo yake DSTV Maisha Magic BONGO. Yanayoendelea hayaeleweki ili mradi kipindi kipo hewani. Hebu Fikiria Dakika 10 zinatumika kuwaonyesha Mzee Kashaulo Judi na Roy wakifokeana.
KIBIBI anaandaa tafrija kwa ajili tu ya kumdai Abby huu ni upuuzi. Japo hatulazimiki kuiangalia lakini lazima tuseme Ukweli TAMTHILIA ya HUBA imeisha siku nyingi kinachofanyika ni Kuunga unga matukio yasiyo na mwendelezo.
JB Anamtaka kimapenzi SIDA, mama mkwe wake Watoto wanaoiangalia wanajufunza nini. Tamthilia ya HUBA imepoteza MWELEKEO na MVUTO.