Tamthilia ya kelele, hivi wanatumia script au ni freestyle???

Tamthilia ya kelele, hivi wanatumia script au ni freestyle???

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,107
Ambony,

Kwa Mara ya kwanza leo nimeangalia tamthilia ya kelele kupitia clouds tv. Kwa kweli ni hovyo..yaani kwenye conversation ni pumba tupu. Nimepata waswas Kama wanatumia script au ujuzi binafsi wa muigizaji. Ikanibidi kuifuatilia mtandaoni, nimegundua anayesimamia uzalishaji wake ni Ruge mwenyewe. Guys u gt to be serious.
 
Sasa si tayari inaitwa "KELELE" we ulitegemea nini labda? Badilisha channel mkuu!
 
tamthilia na movie za kibongo wanajitahidi sana kuongea pumba. wengi (hasa comedy) huwa wanataka kuimprovise wasijue kuimprovise ni kipaji cha level zingine.
 
Tatizo professional haizingatiwi
 
Back
Top Bottom