Ambony,
Kwa Mara ya kwanza leo nimeangalia tamthilia ya kelele kupitia clouds tv. Kwa kweli ni hovyo..yaani kwenye conversation ni pumba tupu. Nimepata waswas Kama wanatumia script au ujuzi binafsi wa muigizaji. Ikanibidi kuifuatilia mtandaoni, nimegundua anayesimamia uzalishaji wake ni Ruge mwenyewe. Guys u gt to be serious.