Tamthilia ya maji ya shingo mbaya Ila kadada haka kanajua sana

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Tamthilia imekosa uhalisia na mvuto Ila Kuna huyu dada Clara naskia anaitwa Esther Daruwesh ni Moto wakuotea mbali anajua mpaka anajua Tena

Halafu mzuri nafkiri bongo movie yote hakuna anayemfikia muhindi sio muhindi muarabu sio muarabu Yani khatar ajitokeze mdau anipatie namba jaman maana anaupiga mwingi sanaa.

1652049081267.jpg
 
Mmmhh..we naye tamthiliya ndo kwanza imeanza si uivutie muda kidogo

We sema umempenda huyo dada basi huna lolote[emoji3]
Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
 
Ila kweli me mwenyewe siku ya Kwanza niliiona mbaya haina uhalisia,ila nikasema ngoja niipe muda tuone halafu wahusika ni wengi
 
Kama mbaya mbaya tu haina maajabu pale Azam nahisi Kuna watu wanapiga michongo kupitisha hizi tamthilia cos hii tamthilia ni ya hovyo kabisa kuwah kutokea pale azam
 
[emoji3][emoji3]duh
 
Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
Wanaokoa gharama za kushoot vipande vichache Kuna episode muhimu wanaruka kiasi kwamba ni vigumu mtu kuelewa mtiririko wa story.
 
Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
Ata mimi hicho kitu nilishangaa kwa kweli

Haina uhalisia kabisaaaaaa
 
Yaan mim niache kuangalia flashforward niangalie hayo
 
Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom