Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.Mmmhh..we naye tamthiliya ndo kwanza imeanza si uivutie muda kidogo
We sema umempenda huyo dada basi huna lolote[emoji3]
Jaman achen majuku aka kabinti ni kazuri sanaaaMbona mie nimemuona ana flat screeb hata hips pia hana, sema rangi inambeba.
Itabidi nimtafute tivu akeMcheki Steve Nyerere akundondoshee namba, ila uwe na chochote kitu cha kumuachia steve
Ila kweli me mwenyewe siku ya Kwanza niliiona mbaya haina uhalisia,ila nikasema ngoja niipe muda tuone halafu wahusika ni wengiTamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
Kama mbaya mbaya tu haina maajabu pale Azam nahisi Kuna watu wanapiga michongo kupitisha hizi tamthilia cos hii tamthilia ni ya hovyo kabisa kuwah kutokea pale azamIla kweli me mwenyewe siku ya Kwanza niliiona mbaya haina uhalisia,ila nikasema ngoja niipe muda tuone halafu wahusika ni wengi
[emoji3][emoji3]duhKama mbaya mbaya tu haina maajabu pale Azam nahisi Kuna watu wanapiga michongo kupitisha hizi tamthilia cos hii tamthilia ni ya hovyo kabisa kuwah kutokea pale azam
Wanaokoa gharama za kushoot vipande vichache Kuna episode muhimu wanaruka kiasi kwamba ni vigumu mtu kuelewa mtiririko wa story.Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
Ata mimi hicho kitu nilishangaa kwa kweliTamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
[emoji1787][emoji1787]Tamthilia mbaya kila kitu kunakuwa ghafla ghafla episode ya kwanza bint keshatoka Kijijini kafika mjini ghafla kawa tapeli,ghafla kawa kahaba mzoefu,ghafla kamtapeli polis,ghafla karud Kijijini imepita miaka minne ghafla, kamtapeli mama yake ghafla Yan hakuna kabisa uhalisia Kama wewe muangaliaji wa tamthilia utajua kuwa johar hapa katupiga na kitu kizito.
Johari sio mtu mzuri [emoji1787][emoji1787] hujambo mdogo wangu[emoji1787][emoji1787]