Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Niamini mimi.
Hii kitu imecapture attention ya Wanafunzi, Walimu na Wazazi wa wanafunzi hasa kwa mkoa wa Dar es salaam
Hu mkoa unatakiwa ujitafakari kielimu. Ukilinganisha na kilimanjaro Dar kuna shule za sekondari 306 na kilimanjaro 316. Kwa idadi ya watu Dar ilitakiwa kuwa na shule zaidi ya mara mbili ya kilimanjaro.
Dar imepata zero 8, 800 na four 16,000 huu ni ufaulu duni sana kwa mji ambao ndiyo centre ya elimu Tanzania. Wameshika nafasi ya 16 huku wakiwa na ufaulu wa asilimia 76. mikoa iliyofanya vizuri ina 85 huko.
Nchi za wenzetu miji mikubwa ndiyo huwa na ufaulu mzuri lakini huku kwetu ndiyo unakuwa mji mbumbumbu
Nafikiri badala ya kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi na yasiyo mhusu huyu mkuu wa mkoa ahakikishe anajenga shule na anaangalia namna ya kuinua ufaulu.
Citation
Mkoa wa Dar ni mkoa mbumbumbu sana Mkuu wa mkoa anatakiwa kujitafakari - JamiiForums