Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?

channels4_profile.jpg


images - 2022-04-29T092516.482.jpeg
 
Igwes wapo mbali sana, ukiangalia movie zao mwanzo hadi mwisho kuna vitu unajifunza, kutoa zile scene zao za uchawi. Lakini movie za bongo, lah!!!!!
 
Back
Top Bottom