Tamthilia zinamomonyoa ndoa ya mshkaji...

na hausi gelo naye utamfukuza? au ndg wengine hapo home wataenda wapi wakati mnakiduana?
 
hivi luninga ya chumbani lazima iwe ndogo?
 

Sasa hapo lazima mke achague kimoja Tamthilia au Kapumpusha Maana huwezi fanya vyote kwa pamoja na kufika kileleni kwa itakuwa ndoto:becky::becky::becky::becky:
 
haya ndo madhara ya kutokua na mipaka katika mambo tuyapendayo...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…