Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

Hizi biashara hubatana na brainwashing ya hali ya juu ambayo inawafanya hao watu wajione matajiri kimawazo wakati ni maskini WA kutupwa matokeo yake ni haya.
1. Kushindwa kufanya shughuli za maana za kimaendeleo
2.kushindwa kuwa na mda WA kuhudumia familia hasa akina mama kukosa mpangilio WA maisha na muda.
3.Kutumia hata kidogo wanachokipata kutaka kujionyesha kwamba mambo ni saafi badaya ya kufikiria kuwekeza.
4.Kuwa too hyped na kukosa utulivu WA fikra, maneno na mawazo na hata wengine kudanganyika kuacha shughuli au kazi zao
5.Kuharibu mahusiano na ndugu au wenza kwa kuwaongiza chaka.
6..Kuwa tapeli na kukosa rational thinking kutokana na too much defence ya wanchoamini kuhusu biashara,hawakubali ushauri hata ule WA wazi kabisa.
7 . Stress na kuwa mtumwa WA biashara na kupata mashinkkizo kutoka kwa upliners.
8.kutumia uongo kupata wateja wapya kama kuhusu kipato anachopata na mafanikio aliyonayo au hata kutumia picha za uongo za vitu kama majumba ya kifahari na magari ya kifahari.
9.Kujiingiza kwenye madeni makubwa na kushindwa kulipa.
 
unakuta mtu ana kisukari anauziwa multimacca ila atibu nguvu za kiume, ni kitu ambacho hakiwezi kutokea hata kwa miujiza, lazima mtu aweze kudeal na kisukari kwanza (diabete reversion/remission) Kisha ndio aweze kupata nguvu za kiume
 
Bora kujiunga na BF Suma kuliko nyie Forever Living maisha
 
vipi kuhusu GNLD?
 
Ni kweli kabisa, ila biashara hii haitegemei Sana watu wako wa karibu

Inatakiwa uwe unatumia matangazo ya kulipia
 
Jamaa yupo sahihi. FLP ni ponzi iliyojificha kwenye bidhaa hizo. Haina tofauti na deci. Ukishaoina faida yako inatokana na kuingiza watu jua upo kwenye upatu.
Faida ipo kwa namna 2

1. Kuuza bidhaa
2. Kuingiza watu

Binafsi swala la kuingiza watu kulikuwa kipengele, sijawahi na siwezi.

Kwanza nilikuwa nawaonea huruma incase wasipofanikiwa watanichukuliaje?
 
Apo akuna cha tamu ni chungu tu [emoji2957][emoji2957]
Kuna miezi biashara inaendaπŸ˜‚πŸ˜‚

Unaamka asubuhi mtu anatumia 350,000 anahitajia bidhaa, hapo ukiuza mara 3 tu Kama hivyo faida yake ni mshahara wa mwalimu wa primary πŸ˜‚4
 
Huu ni ushauri ila hitimisho ni utapeli
Nasema hivyo kwa sababu nina mifano hai ya watu.
Kuna mmoja nikijiunga naye, ila huwa kila mwezi anafanya CC 10+

Hapo faida yake ya mauzo ni 1.5M+


japo Mimi hata Cc mbili ni kipengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…