Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

Mwanakwetu πŸ˜… nilikua sijaona hii reply.
Namba 1; Story ndefu ambayo itawashangaza wanajukwaa na huenda muhusika akawepo akanitambua..!!
Bwana badili details za simulizi kidogo, utuhadithie.
Namba 3; Kiukweli sipendi rough, hizo style naziona km za macheki bob 😹😹
Jamani, kwahiyo wewe ni kulalia mgongo tu πŸ˜…
Namba 2; Hujaniuliza ila watu walionizidi umri au niliowazidi sio vitu vyangu..!!
Siwezi kumvulia nguo mtu mwenye umri wa baba yangu au mdogo wangu..!!
Kwahiyo wewe kupishana akuzidi miaka mingapi ndiyo sawa?
Mimi team age mates, hao nakuwa huru nao sana hata kutembea na bikini na bra ndani sioni shida kabisaa tukiwa wawili 😹😹😹
Na bikini na bra tena, nilijua utasema kutembea ouchiieer πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Salam alykum ndgu zangu katika imani..
Napenda kushiriki mjadala huu kama ifuantavyo πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Swali la kwanza..1
Nimewashangaza wengi sana sana sana kwanza ukiniona navaa miwani πŸ€“ wengi wanajua jamaa mpole tu na napenda kuchek basi wakawa wanaona aaaah huyu hamna kazi.

Sasa bana kuna kidada nikakichimbeza ka kawaida kilikua kinajua kinakutana mkaka wa dasalam kumbe mi ni wa mbeya ndani ndani huko tukuyu ushirika.

Basi ile siku ya kwanza nilivo mkunja kunja aiseee akijua kulalamika mpaka akawa anataka ndo siku hiyo hiyo aiseee maana ilikua hatareeee

Tangu hapo akawa akiniona anasema mimi nawaigizia maisha maana sio kwa yale mambo..

Namba mbili 2...
Hapan naweza sema ni kipaji maana asilimia nyingi ya watu naotoka nao ni wamama age go an mishangazi..
Nimegundua kuna watu tuna ile damu ya kutoka na hawa watu maana unakuta nikiona mtu age flan hv nasisimka mwili..

Na wao huchukulia poa ila wakija kitandani kazi wanayokutana nayo ndio hapo kesi zinaanzaga nikiwa bize maana unakuta ushamzoesha mmama wa watu kumkuna akikutana na wengine anaona wanacheza tu.

Lakini hapo namba tatu 3...
Oky kiufupi mi sinaga huruma linapokuja suala la kulombana aiseeee hii ndo inafanya mtu akimbie kwao mbali huko kuja uswazi huku maana nikianza kazi ninkazi kweli..

Nakumbuka kuna ant mmoja huyo niliwahi mkunja mpaka alivotoka na lile jasho akasema ""mwanangu hii miguu umeifanya nini mbna sielewi""

Thank you chair person
 
Ila we mtoto, hapana kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
Na hicho kimfuko kina nini?
 
Nilifunzwa unyagoni πŸ˜‚πŸ˜‚

Khaaa, yani nimpe raha na hela juu? hapana aiseeh!
Usiwe na 'mfumo jike' mkuu, maana nikisema feminist nitakosea maana!

Mtu akikukoleza, haijalishi jinsia, lazima utoe hela, hiyo ni kanuni kuashiria umemkubali pigo zake.

Huwaga hamjui tu, hongo ya mwanamke kwenda kwa mwanaume ina thamani kubwa sana, huleta 'ukichaa na mzuka wa ajabu kichwani, huongeza upendo na kuhamasisha uwajibikaji.

Kinyume na hela anayohonga mwanaume kwa mwanamke, pesa hiyo saazingine ni kinga ya jambo dogo sana, kwamba 'atanionaje', 'asinione mduanzi', lakini si kwa upendo wa dhati.

Ukiona mwanaume kaanza kutoa hongo kubwa kubwa, elewa umemnasisha kweli, kapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…