Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

Mimi nataka dawa au njia ya kupunguza msisimko yaan mala nyingi nataka some time natamani niwe kawaida ila mwili una react nifanye nn? NB .nina kazi sio kwamba nimekaa tu
 
Mimi nataka dawa au njia ya kupunguza msisimko yaan mala nyingi nataka some time natamani niwe kawaida ila mwili una react nifanye nn? NB .nina kazi sio kwamba nimekaa tu
Unapata msisimko ukiwa umekaa tu mwenyewe, au ukiona mwanamke au inakua kwenye mazingira gani?
 
Mi ni ke πŸ˜„ napata msisimko nikiona mwanaume au hata nikiwa peke yangu inatokea yaan nyege tu zina lipuka uwiiiiiii
Sorry mamie, sikujua.

Nyege kupanda ni kawaida, inatokea kwa kila mtu ila wewe hali hii inakutokea mara ngapi kwa siku /wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…