beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe.
Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu aina zote hizi za ukatili na kuzitambua zinapotokea katika Jamii zetu.