TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo

Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia

TAMWA
 
hao ndo wanawajaza wenzao kwamba kuna usawa ,hadi wanakuwa na viburi, mwisho wake yanawakuta ya kuwakuta
 
Back
Top Bottom