TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa katika Hedhi, husababisha madini kukosekana
 
U achobisha ni kipi!?
kuna kazi mwanamke hatakiwi kuzifanya huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…