TAN ROAD DEGE MTAJENGA LIN MATUTA

TAN ROAD DEGE MTAJENGA LIN MATUTA

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
18
Reaction score
13
tena na tena barabara ya kigambo. pale dege centre pabaya sana matuta muhim. watoto wa shule wanavuka pale. gar zinazotokaga kule kimbij avic town ni zinapita na 120 kwenye kona shwaa.
hii imetokea sasa hiv puma dege.
matuta mbona yapo meng mapya pale mwa mama dad pale shule ya malaika. dege pana hatari sana
 
Attachments

  • 17377961738767600209696197700989.jpg
    17377961738767600209696197700989.jpg
    505.1 KB · Views: 2
  • 17377961963223129282415148836138.jpg
    17377961963223129282415148836138.jpg
    1.1 MB · Views: 2
Usalama ukoje?
Wamepona? Mamlaka zimelala usingizi wa pono
 
kaumia mtu. gar la kutoka buyuni. dege pana hatar . gar zinapita na speed 100km sehem ya zebra.the only thing a bongo driver understand is matuta only. ukiweka matuta wanaheshimu. malori ya vifusi ni yana overtake kiana kama yapo kwenye sakaratul maut. kama unakaa kigambo. utakua shahidi. mbunge wetu tupazie kelele
 
Wakat mwingine ikishindikana ni kujichkulia sheria mkononi.
Zinawekwa mawe na miti barabarani, inafungwa kwa mda mpk aje mkuu wa wilaya uko alikojichimbia
 
kaumia mtu. gar la kutoka buyuni. dege pana hatar . gar zinapita na speed 100km sehem ya zebra.the only thing a bongo driver understand is matuta only. ukiweka matuta wanaheshimu. malori ya vifusi ni yana overtake kiana kama yapo kwenye sakaratul maut. kama unakaa kigambo. utakua shahidi. mbunge wetu tupazie kelele
Hili ndilo tatizo la madereva wa Tanzania. Mpaka uwajengee matuta. Vibao vya ishara za barabarani kwao havina maana. Hapa inabidi wananchi wachukuwe hatua ya kuzuia magari iwahusika wakumbuke kujenga matuta.
 
Back
Top Bottom