I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Tunaelekea kuumaliza 2021 na kuingia mwaka mpya 2022, ni matukio mengi sana yametokea mwaka huu mazuri na mabaya, na mengine yameacha alama maishani mwako.
Je, ni mambo gani utaendelea kuyakumbuka?
[emoji2733] Clock is ticking.....
Siku taifa lilipompoteza dikteta wake mahiri.March 17
Pole sana mkuu.Mwinjilisti wangu kiongozi alitwaliwa 2021
Kweli siku hiyo itabaki historia kwenye vichwa vya wengiMarch 17
Sio dikteta ni rais mwenye misimamo yake.Siku taifa lilipompoteza dikteta wake mahiri.