Kuna kipindi tanapa walitangaza nafasi mbalimbali za kazi. Lakini mpaka sasa sielewi mchakato wa mzima ulikwendaje? Mwenye kufahamu anijuze.
Huwa wanachelewa sana kuita interview hata mimi nasubiria hizo japo nacheki na ishu nyingine
Asante!!!muulizaji atakuelewa,Wadau nimefuatilia huko TANAPA hakuna watu walioitwa huko.
Ishu ni kuwa waombaji ni wengi hivyo wanaangalia utaratibu mzuri wa kuita watu wapige pepa kama inavyofanyika katika Taasisi zingine.
Hivyo hakuna aliyeitwa kuanza kazi.