Tanapa na coasco vp?

Tanapa na coasco vp?

Baghari

New Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari kimyakimya? Harakati njema wadau!
 
Back
Top Bottom