B Baghari New Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jun 22, 2012 #1 Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari kimyakimya? Harakati njema wadau!
Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari kimyakimya? Harakati njema wadau!