Kaziutumishi
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 325
- 385
Hata ukioa siyo kila siku unaweza pata Haki yako kwa Mkeo. Kuna siku Mkeo atakuwa kwenye siku zake.Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional.
Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo website ya Tanapa utaelewa tunakoelekea. Au walitangaza geresha tu?
Fungua website yao kwanza then punguza mentality ya uchiHata ukioa siyo kila siku unaweza pata Haki yako kwa Mkeo. Kuna siku Mkeo atakuwa kwenye siku zake.
Kuna vitu unatakiwa kutumia nguvuakili siyo nguvumwili.Fungua website yao kwanza then punguza mentality ya uchi
Ok you're right, I understand it's not your fault but the work of genetics that needs to be blamed for your low iqKuna vitu unatakiwa kutumia akili siyo mwili.
Low IQ inajua maneno mawili muhimu ambayo ni kuwezekana au kutowezekana.Ok you're right, I understand it's not your fault but the work of genetics that needs to be blamed for your low iq
kwa walio apply amajib yanatoka lin?????Acha uongo Mbona inafungika vzr tuu.hapa unataka useme uongo Dhidi ya mamlaka huru!!!