Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kwenye mfumo wa kufanya malipo TANAPA (kwenye mbuga za wanyama) kumekuwa na maelekezo ya kujaza maelezo yote ya mgeni yaliyopo kwenye passport (Tarehe ya Kuzaliwa, jina kamili na passport number na utaifa)
Kutokana na mabadiliko ya tecknolojia, mtu akipata hayo maelezo, anao uwezo wa ku-temper na account mbalimbali za muhusika hivyo wageni wengi hutoa hizo taarifa kwa shingo upande.
Hivi hakuna njia mbadala na rafiki ya mgeni kulipa bila kujaza hayo maelezo binafsi?
Nafikiri matatizo yetu ya ndani ya kulinda maduhuri yasiwe sehemu ya kuwapa wakati mgumu wageni