Leo katika majadiliano ya bajeti, nilimsikia Spika anahoji juu ya TRA kwenda kukusanya mapato katika mamlaka za hifadhi za wanyama pori pamoja na hifadhi kitalii, nikashangaa kumbe mpaka wa leo kuna Taasisi zinajipangia matumizi ya hela waliokusanya!
Dah! Si mchezo kama hamkupiga vizuri basi niwakaribishe katika kilinge cha kusubiri mgao kutoka mfuko mkuu wa Hazina na mjue kuwa kabla haujaomba hiyo hela ni lazima utoe ufafanuzi wa kina juu ya hiyo hela utakayoomba alafu mkuu akiridhika ndio utapata, wengine maisha ya kusubiri mgawo kutoka mfuko mkuu tulishayazoea.