Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
😳😳😳Hii ni habari nzuri![emoji120][emoji120]hongeraaa wananchi,hongeraa wanajeshi kwa kazi nzurii.
Kuna watu wamenuna kusikia hii habari[emoji39]
Lakini si moto umezima mkuu??Mvua ndio ilisaidia tuwe wakweliView attachment 1602824View attachment 1602825View attachment 1602826View attachment 1602827
Sijasema bado unawaka mkuu.Lakini si moto umezima mkuu??
😂😂😂Wapinzani wameumia wanatamani ungewaka mlima mzima.
Mwenyezi Mungu ashukuriwe kwa kuleta mvuaShirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema kuwa ukaguzi wa anga uliofanywa leo asubuhi katika Mlima Kilimanjaro umebaini kuwa moto wote umedhibitiwa lakini vikosi vya askari vimetawanywa kwa ajili ya tahadhari.
View attachment 1602801
Moto huo uliozuka Oktoba 11 mwaka huu umeathiri eneo la kilomita za mraba 95.5 ambazo ni sawa na 5% ya eneo lote la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,700.
TANAPA imesema kuwa udhibiti wa moto huo umetokana na kazi kubwa inayoendelea kufanywa na askari, wananchi na Jeshi la Zimamoto.
Licha ya moto huo, shughuli za utalii katika Mlima Kilimanjaro zinaendelea kama kawaida.
Mungu ndio kafanikisha baada ya kuleta mvua kubwa, vinginevyo uzimaji wa moto kwa majani usingewezekanaHuu uzi utakosa wachangiaji..ungesema moto unaendelea saa hizi ungekuwa ukurasa wa 20.
Hongereni wote mliofanikisha kuuzima moto.
Mzee wa nongwa, kila kitu lazima upinge?Mvua ndio ilisaidia tuwe wakweliView attachment 1602824View attachment 1602825View attachment 1602826View attachment 1602827
Kumbe Tanzania peoples power niwengi kuliko cha kijañiHuu uzi utakosa wachangiaji..ungesema moto unaendelea saa hizi ungekuwa ukurasa wa 20.
Hongereni wote mliofanikisha kuuzima moto.
Humu jamii forum Ila sio kwenye uhalisia.Kumbe Tanzania peoples power niwengi kuliko cha kijañi
Kwani hiyo Mvua ikisaidia Kuuzima huo Moto kuna tatizo? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mna Husuda na Visununu kwa nchi yenu hii hii pia?Mvua ndio ilisaidia tuwe wakweliView attachment 1602824View attachment 1602825View attachment 1602826View attachment 1602827