jamani wakuu kuna aliyeitwa kwenye interview tanapa atuabarishe tusije tukawa tunasubiria kuitwa kumbe vimemo vilishapita. Mbarikiwe
@wingu usiseme hivyo jamani.Una ndugu pale au una umiza kichwa tu.Labda uwe una kitu tofauti kwenye cv yako ambayo ndugu zao hawana unaweza ukapata
@acha tuHizo Nyingine sijui.. Ila Nfasi za IT Analyst zina watu muda mrefu na Senior IT analyst Networking virtually kaanza kazi... NASIKITIKA KWANINI WANASUMBUA RAIA KWA KAZI KAMA HIZI...
@wit kweli hakuna kukata tamaa kwa Mungu yote yawezekanamashirika ya umma kama TANAPA,NCAA,PPF, n.k huwa yanatangaza hizi nafasi kama formality tu lakini already nafasi zinakuwa ziko covered,ukisikia nafasi kumi jua ambazo ni genuine ni mbili au tatu..ila hapana kukata tamaa
@ulimakafu sawa.Vuta subira.
@wambugani hapana sina maana hyo,unajua tunaweza tukawa tunasubiri kuitwa kumbe watu walishaanza kazi,ni vizuri kuulizaPriscilla, Huna imani nao? kwani mwenendo wa kupokea memo ili na sisi waombaji wengine tukate tamaa?
@damcon tumtegemee Mungu,ss hatuna ndugu wala vimemo ila Mungu atadhihirika akituteteawakuu pale Tanapa ni undugunization,nafasi zilizotolewa zina wenyewe(wafanya kazi wa palepale waliojiendeleza) ila tumuombe Mungu anayetoa haki ndio atakayetupigania.lets hope>>:eyebrows:
@hassan umenipa moyo angalau tusubirieTuwe na subira wandugu, me nilienda tanapa last j'mosi kuulizia mchako mzima wakaniambia bado na waliongeza mda wa kupokea appl. na deadline ndo ilikuwa cku hiyo j'mosi.
Una ushahidi?wakuu pale Tanapa ni undugunization,nafasi zilizotolewa zina wenyewe(wafanya kazi wa palepale waliojiendeleza) ila tumuombe Mungu anayetoa haki ndio atakayetupigania.lets hope>>:eyebrows: