@damcon tumtegemee Mungu,ss hatuna ndugu wala vimemo ila Mungu atadhihirika akitutetea
mungu wa siye tusio na vimemo anaishi
ndugu zangu msikate tamaa, mi nina uhakika asilimia mia moja kwamba bado hawajaanza kuita watu kwenye interview, nafahamiana na watu kadhaa pale, ingawa sijaaply lakini hiyo position ya senior it kuna mtu tayari but wametangaza cz wanahitaji mtu mwingine...so kuweni wavumilivu cz wanadai short listing inaweza kuchukua up to 2 month ndo watu wataanza kuitwa, nikipata update zaid ntawapatia
uzushi huu
nimefuatilia habari za ndani kabisa.. Unachokisema ni kweli.. Kwa nafasi nyingine kuna uwezekano mkubwa sana zikafuata haki pamoja na vimemo vidogo vya mtu kuwa shortlisted.. Ila kwa nafasi ya senior it.. Tayari jamaa aliye-implement network toka simba net anafanya hiyo kazi na wameita tu kubariki...
uzushi huu
Wadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU
@umenena hakika nasubiriWadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU