@mafuluto mi cjasema nasubiri post ya porini,Mungu mahali ppte atakaponipangia naenda.naunga mkono issue ya kusubiri, lakini kusema hakuna udugu sio sahihi kabisa !! Tena na hii kuingiza wanasiasa ktk bodi ndiyo imeongeza matatizo. Watu licha ya kazi, wanachagua mpaka mtu awe accountant au cashier wapi maana wanajua pazuri pa kuiba magetini/entry points ect..!
Tena wewe dada kuwa makini, maana kule kumejaa mafisi watu.... nimeona umesema unasubiri posti za porini !!
tupo kazini interview imeshafanyika tarehe 15.2.2012😛hoto:[/QUOT
.Hiyo interview ulifanyia wapi,weka barua ya kuitwa katika usaili.
Unaturusha viroho tu.
Unaenda na naulu yako hakuna refundHivi Tanapa ukienda kwenye interview wanatoaga nauli au?