Tanasha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haka kamamii by the way kametulia, I like how she entertains no drama , she is just her and her world, she is not trying to compete or compare with any of her boyfriend’s ex, that’s Tanasha for you , also kako very smart upstair, she has a very good communication skills , hakanaga uswahili wala mambo mengi, kanajiezea vizur sana kwenye her interviews , ukimsikiliza kwa makini you can tell the pretty girl anajielewa.

Mama tee once said that , it’s true she likes attention , yan anapenda that public life , people talking about her life , yan thats her fantasy , popping champagne, living large life , mapicha picha and so so , na kusemezana ukweli she has it all bwana, she is gorgeous, famous and rich , Zari has something worthy showing off compare na kina mwafulani.

Ila nakaombea ka tanasha kaendelee hivyo hivyo with no drama, unajua this chick ata akiachika people won’t attack her that much juu hananga mashauzi, kako very simple compare na mama tee na hamisa mobeto, wale watu walijua kujishaua bwana when they were drinking diamonds ice cream [emoji509], walikua wanaona dunia yote yao , yan walikua wanaona kama sijui ndo wamemdate jay zee wenyewe, kilichowakuta only God of Abraham knows , Life has humbled them [emoji23], Yes both mama tee and hamisa finally they have learnt to shut their bakuliz[emoji23], mashauzi yote kwisha.

Mama tee alikua anajishaua but I never hated her coz it was her man , they were dating and they were famous , at least their relationship was worthy showing off, walikua wanaendana yan, and people were so happy for them untill this jezebel daughter came to the scene .

What irritated me about hamisa ni vile she was insulting Zari na kujishaua hadharan that she took her man coz her p is so good , but all in all , we all know what karma did to her , Karma has no menu , you get served what you deserve, the bitch is humble , life has taught her a great lesson [emoji1423], now ako single trying to settle her life , good lucky to her [emoji8]

By the way let’s hope this new diamonds relationship last longer , coz honestly , tanasha ako vizur, and she doesn’t deserve mapicha picha kama walivyofanyiwa wenzao.
 
[emoji860][emoji860]"Jezebel daughter came to the scene "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji860][emoji860]"Jezebel daughter came to the scene "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me mwenyewe huyu tanashadonna namkubali ile mbaya ndo maana tokea huyu dada adate na diamond diamond ametulia sana Kwanza yupo peace hajisikii kubwa zaidi anajielewa.Tokea uandike thread zako zote hii ndio thread umeandika point hizo zingine unaandikaga mipasho ambayo haina mbele Wala nyuma.
 
Kula like yng binam, honestly kametulia.sa hv hata bando watu tumepunguza kununua drama za zari,mobeto na mond zilitufilisi kila ukiamka kuna jipya......yaaaan hekaheka insta zilikua haziishi.
Kitu kingine kanaadabu kama yote,km kanafake kako vizuri.yaaan yuda esma na mamaake wamepatikana.
 

Ahahah Ahsante , binamu si unajua umbea lazima uongeze spice vinginevyo ntajikuta mwenyewe kwenye thread zangu [emoji23][emoji23], watu wanapenda michambo, yan ukiandika thread unamsifia mtu tu watu hawapendika kabisa kusikia, ila fumua uovu wao sasa, thread inajaa dakika mbili , so sometimes I need to do what my followers want, and I’m good at it [emoji23]
 


Tanasha nae kashaanza Kiki , tusimsifie kidogo [emoji23][emoji23], by the way nimependa ka clip , so creative , Eric is on his own league kwa kweli , this video went viral Akii, sasa Tanasha wa kwenu halafu mnamteka wenyewe[emoji23][emoji23]


Aki hii video Zari shoga angu akiona atahairisha, angekua yeye maana anapenda kiki hatar shoga wangu yule [emoji23][emoji23]
 

Yah kama kanaigiza kwa kweli katupata wambea, maana hatuna cha kuongea[emoji23][emoji23]... kajitahid kuigiza mpaka waachane au hata afaidike kidogo maana soon bidada ataanza ku show her true color[emoji23][emoji23]
 
Bila Zari uzi haunogi. Awesome mganda kawaganda kama ruba.

Anyway nasubiria ndoa yao saba saba huko,kashata sijui atabadili dini au mwendo wa kiserikali zaidi
 
Nilikua sikapendi ila baada ya interview aliyofanya wasafi fm ..the way anavyoongea kwa umakini na yuko humble wallah nilifall kwa haka kadada
 
Jezebel daughter..haha..aki warumi God is zoomiling you
 
Bila Zari uzi haunogi. Awesome mganda kawaganda kama ruba.

Anyway nasubiria ndoa yao saba saba huko,kashata sijui atabadili dini au mwendo wa kiserikali zaidi

Ahahah shoga angu we na tanasha haziivi, ahaha nimekutbua vuzi Leo [emoji23][emoji23]
 
Bila Zari uzi haunogi. Awesome mganda kawaganda kama ruba.

Anyway nasubiria ndoa yao saba saba huko,kashata sijui atabadili dini au mwendo wa kiserikali zaidi

Ndoa kutoka wapi? Kama mchawi hamisa na kuroga kote kule kakosa ndoa ndo aje kupata katasha
 
Nilikua sikapendi ila baada ya interview aliyofanya wasafi fm ..the way anavyoongea kwa umakini na yuko humble wallah nilifall kwa haka kadada

Umeona eeh hakanaga nyodo wala mashauzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…