Zari anajua kututingisha waTz
Zari anajua kututingisha waTz
Umeona eeh , lile janamke lina nyota yake , yule Ndo aliyezima nyodo za sepenga[emoji23][emoji23], chezeya , wema sasq hvi yupo kama housegirl wa Mama Sabrina , hana jipya mjini
Hicho ndicho nachompendea,siku akitokea mtanzania akatutingisha kama yeye ntaacha rasmi kumshobokea Zari.
Kwa sasa Hivi mmh, bado , we mwenyewe umeona mbwe mbwe zake akiingia tu airport waandishi wanavyojaa, tanasha at aje na piki piki no one cares , huon kila siku anakuja Tz but people are not excited at all , ngoja Zari atangaze kuja Tz uone mpaka dada wa US anavyopagawa[emoji23][emoji23], Zari ni mwanamke na class yake bwana, anatutetemesha ma sister duh wote wa magufuli[emoji23][emoji23], you know there is this thing about Zari you can’t even explain , yan she is just her , ako na vibe kama lote[emoji23]
Hahahah warumi bana huko juu umemnanga balaa. Hapa unamsifia. Kinachomkera mange ni kuwa enzi za mashauzi yanataka pesa alikua anacopy maisha ya Zari na kutaka kuwa juu yake zaidi. Ila kaporomoka balaa mpaka kawa hater wa kudumu.
Wanasema domo kampa umaarufu zari mbona kashindwa muambukiza kashata huo umaarufu mkubwa
Mbn unaonesha video ya mziki onesha video ya kwichikwichi tuamini kwamba walidateHaf kiba bana kimyaa kama vile hamjui Tanasha View attachment 1140394View attachment 1140395View attachment 1140398
View attachment 1140030
Tanasha nae kashaanza Kiki , tusimsifie kidogo [emoji23][emoji23], by the way nimependa ka clip , so creative , Eric is on his own league kwa kweli , this video went viral Akii, sasa Tanasha wa kwenu halafu mnamteka wenyewe[emoji23][emoji23]
Aki hii video Zari shoga angu akiona atahairisha, angekua yeye maana anapenda kiki hatar shoga wangu yule [emoji23][emoji23]
Hahaha kanachuna kwa akili,bila kupiga kelele.na si wambea ndo tunazsubiri hizo true colors tupate pa kusemea.Yah kama kanaigiza kwa kweli katupata wambea, maana hatuna cha kuongea[emoji23][emoji23]... kajitahid kuigiza mpaka waachane au hata afaidike kidogo maana soon bidada ataanza ku show her true color[emoji23][emoji23]
Mwambie Akapime NGOMA maana ni KAZEZE NI KAZEZE.Haka kamamii by the way kametulia, I like how she entertains no drama , she is just her and her world, she is not trying to compete or compare with any of her boyfriend’s ex, that’s Tanasha for you , also kako very smart upstair, she has a very good communication skills , hakanaga uswahili wala mambo mengi, kanajiezea vizur sana kwenye her interviews , ukimsikiliza kwa makini you can tell the pretty girl anajielewa.
Mama tee once said that , it’s true she likes attention , yan anapenda that public life , people talking about her life , yan thats her fantasy , popping champagne, living large life , mapicha picha and so so , na kusemezana ukweli she has it all bwana, she is gorgeous, famous and rich , Zari has something worthy showing off compare na kina mwafulani.
Ila nakaombea ka tanasha kaendelee hivyo hivyo with no drama, unajua this chick ata akiachika people won’t attack her that much juu hananga mashauzi, kako very simple compare na mama tee na hamisa mobeto, wale watu walijua kujishaua bwana when they were drinking diamonds ice cream [emoji509], walikua wanaona dunia yote yao , yan walikua wanaona kama sijui ndo wamemdate jay zee wenyewe, kilichowakuta only God of Abraham knows , Life has humbled them [emoji23], Yes both mama tee and hamisa finally they have learnt to shut their bakuliz[emoji23], mashauzi yote kwisha.
Mama tee alikua anajishaua but I never hated her coz it was her man , they were dating and they were famous , at least their relationship was worthy showing off, walikua wanaendana yan, and people were so happy for them untill this jezebel daughter came to the scene .
What irritated me about hamisa ni vile she was insulting Zari na kujishaua hadharan that she took her man coz her p is so good , but all in all , we all know what karma did to her , Karma has no menu , you get served what you deserve, the bitch is humble , life has taught her a great lesson [emoji1423], now ako single trying to settle her life , good lucky to her [emoji8]
By the way let’s hope this new diamonds relationship last longer , coz honestly , tanasha ako vizur, and she doesn’t deserve mapicha picha kama walivyofanyiwa wenzao.
Ndoa kutoka wapi? Kama mchawi hamisa na kuroga kote kule kakosa ndoa ndo aje kupata katasha
Leave*Live Hamisa Alone hakuwahi kujishaua hata siku moja. Angejishauaje wakati mapenzi yao yalikuwa Siri. Muacheni anakuja juu sasa kwa bidi zake!