Serikali: angalieni upya huu uwekezaji. TANCOAL kampuni inayochimba na kusafirisha makaa ya mawe inasababisha wananchi kutotumia barabara, kutokana na Wawekezaji hawa kupitisha magari makubwa kushinda uwezo wa barabara.
Madereva wa malori Haya wamekuwa ni kero. Kwa tabia ya kuegesha magari katikati ya barabara na kuzuia mabasi ya abiria.
Wanachimba, wanabeba bila hata kupanua barabara.
Serikali Mpo wapi?