Saidy Januzaj Member Joined Apr 13, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Jun 25, 2014 #1 jamani kwa wale waliochaguliwa na waliograduate hii shule tukutane hapa tujuzane mambo muhimu ya school
jamani kwa wale waliochaguliwa na waliograduate hii shule tukutane hapa tujuzane mambo muhimu ya school
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,072 Reaction score 5,053 Jun 25, 2014 #2 Saidy Januzaj said: jamani kwa wale waliochaguliwa na waliograduate hii shule tukutane hapa tujuzane mambo muhimu ya school Click to expand... Nenda Facebook kuna makundi na kurasa za mashule mengi ,Hivyo basi utakutana nao wengi tu! Na mtajuana na kujuzana kwa sana kuliko humu!
Saidy Januzaj said: jamani kwa wale waliochaguliwa na waliograduate hii shule tukutane hapa tujuzane mambo muhimu ya school Click to expand... Nenda Facebook kuna makundi na kurasa za mashule mengi ,Hivyo basi utakutana nao wengi tu! Na mtajuana na kujuzana kwa sana kuliko humu!
Saidy Januzaj Member Joined Apr 13, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Jun 25, 2014 Thread starter #3 kama ww huusiki kaa kimya.acha kimbelembele