Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Siku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20.
Nia yenu ni nini?
Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe.
Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya mambo makusudi, huu ni ushenzi kama ushenzi mwingine wowote.