Corrupt governmentSiku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20.
Nia yenu ni nini?
Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe.
Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya mambo makusudi, huu ni ushenzi kama ushenzi mwingine wowote.
Ndugu mtejaSiku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20.
Nia yenu ni nini?
Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe.
Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya mambo makusudi, huu ni ushenzi kama ushenzi mwingine wowote.
Tunalamba asali kwanza.tukitosheka kulamba asali tutayafanyia kazi maoni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mteja
Tafadhali tujulishe[emoji116]
Tatizo
Wilaya
Simu
Namba ya taarifa
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Huduma kwa wateja
0748550000
Rushwa ndiyo tatizoWashenzi sana hawa watu. Yaani kuna muda wanajiamulia tu wakachezea switch tu kata, washa, kata, washa.....