Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata zingekuwepo mngelipia, hili li roho la umaskini likataeWiki hii baadhi ya wakazi wa Mbagala wamebadilishiwa mita za umeme, baadhi ya mita zilikuwa na salio la unit za umeme, hizo uniti Tanesco wamezichukua badala ya kuziweka kwenye mita mpya, huu ni wizi, warudishieni uniti zao mliowabadilishia mita.
Unapowekewa mita mpya inakuwa na unit za sh 10,000/= ambazo unatakiwa uzilipe, wakati unawalipa Tanesco wao wamechukua unitd zako zaidi ya hizo zao.Hata zingekuwepo mngelipia, hili li roho la umaskini likatae