Wiki hii baadhi ya wakazi wa Mbagala wamebadilishiwa mita za umeme, baadhi ya mita zilikuwa na salio la unit za umeme, hizo uniti TANESCO wamezichukua badala ya kuziweka kwenye mita mpya, huu ni wizi, warudishieni uniti zao mliowabadilishia mita.
Wiki hii baadhi ya wakazi wa Mbagala wamebadilishiwa mita za umeme, baadhi ya mita zilikuwa na salio la unit za umeme, hizo uniti Tanesco wamezichukua badala ya kuziweka kwenye mita mpya, huu ni wizi, warudishieni uniti zao mliowabadilishia mita.