TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna nini?
Mmetuunguzia vifaa vyetu, tunaotegemea kazi ya kukata, kukereza na kuunga vyuma tunafanyaje kazi? Hapa tuna kazi za watu na wakitulipa ndiyo hela yetu ya kula, mnataka tuishije?
Meneja wa mkoa au wa wilaya tueleze kuna tatizo gani na litaisha lini.