KERO TANESCO badilisheni mita za umeme kausha damu mnatuumiza sana

KERO TANESCO badilisheni mita za umeme kausha damu mnatuumiza sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi?

Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato.

Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo zaidi ya moja tunaisoma namba kweli kweli.

Natarajia!
 
Km mwezi uliyoisha walitoa mita mbovu nyingi.. kukosa fundi wao kunisanua ningeingiliwa.
Wamenicheleweshea mipango yangu hapa nasubiri mita mpya.!
 
Back
Top Bottom