Jamani mimi Mtanganyika kazi yenyewe hii ya uwalimu bili imekuja toka 23,000 hadi 39,879/= si tunakoelekea jamani ni kukaa gizani kwa sie tusio kuwa nacho?
Na naona wanashindana na wa maji maana nayo imetoka 8,467.43 hadi 31,546.32
Y jamani ????? Kwa nini???? Na matumizi ni yale yale niko bachelor je nikiwa na familia??
kwani walimu ndo wenye maisha magumu tu!!!ajiendeleze kielimu aongeza ujuzi au mshahara!?hata walimu wapo wenye maisha mazuri usishushe taaluma kiasi hicho mkuu!Mawazo yangu ndugu yangu kajiendeleze kielimu zaidi kwani maisha yako ya ualimu yatazidi kuwa magumu na mimi sioni sababu ya kulalamika. Hao viongozi hawajali mtu kama wewe hivyo jiangalie mwenyewe na kajiendeleze kielimu utaona maisha yanabadilika. Usijichukulie kama mtu uliyeshidwa!
Mawazo yangu ndugu yangu kajiendeleze kielimu zaidi kwani maisha yako ya ualimu yatazidi kuwa magumu na mimi sioni sababu ya kulalamika. Hao viongozi hawajali mtu kama wewe hivyo jiangalie mwenyewe na kajiendeleze kielimu utaona maisha yanabadilika. Usijichukulie kama mtu uliyeshidwa!