Tanesco boresheni maslahi ya vibarua Shinyanga mjini

Tanesco boresheni maslahi ya vibarua Shinyanga mjini

lunch_skiper

Member
Joined
Mar 11, 2025
Posts
5
Reaction score
2
Habari

TANESCO boresheni maslahi ya vibarua shinyanga mjini kwa maana wanateseka na kupitia changamoto ngumu sana kwa sasa ni miezi miwili huu wa tatu hawajalipwa wengi wao huacha kazi kwa kuamini wamezulumika kazi ni ya nguvu nyingi inapaswa wale lakini watakula nini ikiwa hawana pesa mamlaka husika husikeni katika hili bila hvyo watapata vidonda vya tumbo kwa njaa au kupondwa nguzo kwa kukosa nguvu
 
Back
Top Bottom