Tanesco Dar, ku-activate Metre ya LUKU mpya inachukua muda gani?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mambo mengine wananchi hatupendi kuyafanya lakini namna ya utoaji huduma kwa wateja wenu inatulazimu kuyafanya,tumereport ubovu wa metre ya Luku imechukua 3 good month kuja kubadilishiwa na imebadilishwa ita takes almost 48 good hours haijawa activated hivi nikitafuta kanjanja aka bypass huu umeme nikaendelea kutumia bure mtanilaumu !?? Halafu baadae mnalalamika kua wananchi wanahujumu kama huduma zenu mbovu namna hii kwa nini msihujumiwe tena wakubypass namchukua hapo hapo Tanesco !!! Hebu muoneshe kiwango kizuri cha huduma...mwenye namba ya kuripoti haya matatizo naomba anisaidie namba ya boss wao anaeweza kutatua hizi kero !! Hapo wanatengeneza mazingira ya pesa ,si mnalipwa mshahara nyie !?? Sasa dawa ni Kupiga tu mxiuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…