Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

yaani nishawahi kulala gizani mara kibao kwa sababu nilikuwa nawaaachia mabinti ila nikaona hakuna sababu ya kulala giza kwa sababu ya uzembe
 
Huyu mama ameanza udhaifu mapema sana, nafurahi kwamba sio katili kama yule bwana aliyechukuliwa na kisulisuli Ila hiyo sio kazi ya Rais pekee, huku maji hakuna siku nne then umeme,. Yani vinapikezana na yeye kazi kuoaka shedo tu.
 
Tanesco acheni kumuhujumu Mh SSH,haiwezekani kila siku kununua LUKU kusumbue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…