TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Nimewaita mara tatu
Hakika mnasikitisha sana Kwa huduma zenu mbovu wananchi tunateseka sana.
Leo kutwa nzima tumeshinda bila umeme wamerudisha jioni hii na bado umeme wenyewe ni wa mashaka unawaka na kuzima kila baada ya muda mfupi kitu ambacho ni hatari.
Hakuna taarifa yoyote ya katika hili iliyotolewa hakika inasikitisha sana kuishi nchi ngumu namna hii.
Mungu nusuru Taifa hili la Tanzania.