TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
MsisingizieMbona huku kwetu ni wiki tatu sasa tangia tuwe tunapata umeme wa mgawo. Si unajua hiki ni kiangazi mabwawa yamekauka. Hilo la JNHPP tunaambiwa hadi Julai 2025 kwani nalo linakauka kwa kiangazi hiki kikali. Yote haya yanasababishwa na matusi wanayoyatoa chadema hadi Mungu amekasirika na kukausha mabwawa yetu ya umeme.
Hatusingizii cho chote. Enzi za Magufuli wakati chadema hawakuwako, umeme wa mgao haukuwapo. Sasa chadema wamerudi na mgawo wa umerudi.Msisingizie
Wengine tumeshazoea sasa, wanakata umeme wanavyotaka. Hata wakitoa ratiba hawaifuati ipasavyo.Nimewaita mara tatu
Hakika mnasikitisha sana Kwa huduma zenu mbovu wananchi tunateseka sana.
Leo kutwa nzima tumeshinda bila umeme wamerudisha jioni hii na bado umeme wenyewe ni wa mashaka unawaka na kuzima kila baada ya muda mfupi kitu ambacho ni hatari.
Hakuna taarifa yoyote ya katika hili iliyotolewa hakika inasikitisha sana kuishi nchi ngumu namna hii.
Mungu nusuru Taifa hili la Tanzania.
Unamjua magufuli au unamsikiaHatusingizii cho chote. Enzi za Magufuli wakati chadema hawakuwako, umeme wa mgao haukuwapo. Sasa chadema wamerudi na mgawo wa umerudi.
Unapendekeza nini? Maandamano au nini kifanyike?Nimewaita mara tatu
Hakika mnasikitisha sana Kwa huduma zenu mbovu wananchi tunateseka sana.
Leo kutwa nzima tumeshinda bila umeme wamerudisha jioni hii na bado umeme wenyewe ni wa mashaka unawaka na kuzima kila baada ya muda mfupi kitu ambacho ni hatari.
Hakuna taarifa yoyote ya katika hili iliyotolewa hakika inasikitisha sana kuishi nchi ngumu namna hii.
Mungu nusuru Taifa hili la Tanzania.
VyoteUnapendekeza nini? Maandamano au nini kifanyike?
Mbaya sana wala hawezi kuwa presidaa kamwe atabaki kuwa lovely kid basiTuliza ball mkuu,, wizara iko chini ya "lovely kid" the next president to be huna na hatuna cha kumfanya msambaa yule,, angalia huko jinsi anavyowafanya wafanyabiashara wa mafuta,, nani atamgusa,,!?
wakizidi kubanwa wataandamana tuu. Angalia bei as mafuta na hali ikizidi kubana wataandamana.Vyote