TANESCO huu mgao kwanini hamtolei maelekezo?

TANESCO huu mgao kwanini hamtolei maelekezo?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Kumekuwa na kukatwa kwa umeme baadhi ya maeneo ya nchi kuanzia asubuhi hadi jioni mengine kuanzia jioni hadi usiku sana tungetamani Tanesco watufahamishe kuhusu huu mgao au tatizo lililopo.
 
Back
Top Bottom