Wakuu,unapofungiwa umeme unalipia kila kitu,nguzo,mita,service line,wire,usafiri,vibarua n.k.Unaponunua umeme kwa sasa ni wastani wa TShs 195 kwa unit moja.Ni garama sana.Mi nauliza kwa wale wanotumia Luku,utakuta kila mwezi wanacharge service charges,pia wamepandisha sana.Je hizi service charge ni za nini kwa mtu wa luku?Ukinunua kwa M-pesa,Zap,tigo pesa kuna charge nyingine.Jamani naomba tujulishane hizi garama ni za nini?Je hamna njia mbadala ili tuachane kabisa na Tanesco?
Solar naipigia hesabu kuondokana na hawa jamaa wizi mtupu. Wee acha tu! Nguzo ikidondoka basi lazi uwapatie kitu kidogo ili waje. Wakifika wanadai wameileta mpya kumbe wizi mtupu wanarudishia hiyo hiyo mpya yauzwa sehemu nyingine