Nimefika TANESCO kati ya saa saba naambiwa hakuna huduma mpaka saa nane.
Nadhani hii si sawa hili ni shirika la huduma huduma huwa haikatishwi. Hii ni huduma kama Benki, Hospitali, Fire, Police, kwa kifupi hizi huwa zinaitwa ‘essential service’ hata kama mtataka kugoma kuna utaratibu maalumu.
Nimesema kwa kua Mbeya, Sumbawanga hawafanyi hivi sasa nyinyi mamlaka ya kufanya hivi mmepata wapi.
Hivi HR wa hapo anashindwa kutoa ushauri kuwa kwenye essential services huwa hatufanyi huu upuuzi.
Mbeya wanafanya rotation kwenda kula hawafungi huduma.
Hili lirekebishwe haraka halimuhusu Maharage wala Waziri ni poor thinking at Regional level.