Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani.
Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake
Inakera sana
TANESCO makao makuu tuna uhakiaka hamna taarifa na hizi hujuma tunazofanyiwa na uongozi wa wilaya. Mnafaidika nini na huu usumbufu na hasara mnayotusababishia?
Kuna taarifa kuwa mmehongwa kutengeneza scarcity ya umeme ili mabosi wauze generators
Kata ya Makere ipo gizani kwa zaidi ya masaa 24 Sasa
TANESCO makao makuu tunaomba msaada wa haraka