KERO TANESCO Kibondo wanakata umeme zaidi ya saa 12 bila taarifa. Kama kuna mgao watujulishe

KERO TANESCO Kibondo wanakata umeme zaidi ya saa 12 bila taarifa. Kama kuna mgao watujulishe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TANESCO KIBONDO NI KERO

Leo ni siku ya 3 sasa, hawa TANESCO wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wanakata umeme kwa zaidi ya saa 12 bila taarifa yoyote.

Je, ni mgao umeanza tena tujue?

TANESCO
 
Kuna mgao wa kimya kimya unaendelea, hii mijitu inazidiwa akili hata na funza wa chooni
 
Back
Top Bottom