Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME
KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO
27 JULAI, 2024
Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kutakua na katizo la umeme katika maeneo yao.
Sababu: Kuwezesha kituo cha Ubungo ili kiweze kuhudumia wateja wote wa Dar es Salaam na Zanzibar kwa kuweka uwiano sawa wa mahitaji kwenye laini za 220kV Ubungo-Kinyerezi na ile ya 220kV Chalinze-Luguruni-Ubungo.
SIKU, TAREHE NA MUDA
Jumapili,28,Julai 2024, kuanzia saa 5:00 Mchana hadi saa 8:30 Mchana
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA Baadhi ya Maeneo Katika Mkoa wa Dar es salaam
Shirika linawashukuru wateja wake kwa ushirikiano katika kipindi chote ambacho huduma ya Umeme itakosekana.
IMETOLEWA NA:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA,
TANESCO MAKAO MAKUU,
DODOMA.
SIMU-0748 550 000.