M Mzalendo07 Member Joined Feb 24, 2014 Posts 71 Reaction score 120 Dec 25, 2023 #1 Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
Bijang JF-Expert Member Joined Oct 13, 2016 Posts 368 Reaction score 724 Dec 25, 2023 #2 Sasa walinz unatusagia kunguni, tumefenyej kaz yetu sisi kufungua geti